1996269328 scaled

Mastaa Afcon Kuoga Noti

Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na Rais wa Nigeria, Bola Tinubu wametoa zawadi kwa wachezaji wa timu zao za Taifa ambazo zilicheza Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika iliyomalizika siku ya Februari 11 nchini Ivory Coast. Baada ya wenyeji wa michuano hiyo timu ya Ivory Coast kuibuka mabingwa wa michuano hiyo kwa kuifunga…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks