Snapinsta.app 395202342 348501174244055 650224555034740445 n 1080

Katwila Arudi Mtibwa Sugar

Sasa ni rasmi kocha Zubeiry Katwila amerudi katika klabu yake iliyomtoa ya Mtibwa Sugar baada ya kuachana nayo miaka mitatu iliyopita na kujiunga na Ihefu Fc yenye makazi yake jijini Mbeya maeneo ya Mbarali. Awali kabla ya kutambulishwa rasmi kikosini humo kocha huyo alizua gumzo baada ya kuamua kujiuzuru nafasi yake ya ukocha mkuu katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks