Home Soka Zanzibar,Sudan Hakuna Mbabe

Zanzibar,Sudan Hakuna Mbabe

by Sports Leo
0 comments

Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetoka sare na timu ya taifa ya Sudan katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya chalenji uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda siku ya jumapili.

Zanzibar walikua wa kwanza kupata bao mwanzoni mwa kipindi cha pili likifungwa na Hamis Makame dakika ya 56 bao ambalo lilidumu hadi dakika ya 89 ambapo Sudan walijipatia goli likifungwa na Osman Yahya  na mchezo kumalizika kwa sare.

Iliwalazimu Zanzibar kumaliza mchezo wakiwa pungufu baada ya Ahmada Ibrahim Hamad kupata kadi nyekundu dakika ya 83 ya mchezo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited