Al Hilal Fc Yamuaga Rasmi Ibenge
Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan imethibitisha kuachana na kocha wake Florent Ibenge baada ya miaka mitatu ya kufanya kazi na klabu hiyo kubwa nchini humo. Timu hiyo imeachana na Ibenge baada ya makubaliano ya pande mbili kufuatia mkataba wa kocha huyo kufika mwishoni na kuamua kitoongeza tena. Taarifa za ndani kutoka nchini…
