Home Soka Rais Wa Caf Kuishuhudia Simba,Yanga

Rais Wa Caf Kuishuhudia Simba,Yanga

by Sports Leo
0 comments

Shirikisho la soka nchini Tff limemwalika Rais wa shirikisho la soka barani Afrika Caf Ahmed Ahmed kuwa mgeni rasmi wa mechi baina ya watani wa jadi Simba na Yanga itakayofanyika jumapili.

Barua iliyotumwa na Tff kwenda Yanga ambao ni wenyeji wa mchezo huo imethibitisha kuwa Rais huyo atahudhuria mchezo huo kama mgeni rasmi wa mchezo huo mkubwa barani Afrika.

Rais huyo huyo atawasili nchini Jumamosi na ataondoka siku ya jumanne ambapo licha kuhudhuria mechi hiyo pia atazungumza na viongozi wa serikali.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited