Home Makala Kagere Atwaa Tuzo

Kagere Atwaa Tuzo

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Meddie Kagere amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi machi mwaka huu kwa mujibu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara.

Kagere ametwaa tuzo hiyo baada ya kufanya vizuri na kuwashinda Paulo Nonga wa Lipuli Fc na Never Tigere wa Azam fc ambao aliingia nao fainali huku pia kocha wa Kmc Herimana Haruna akitwaa kwa upande wa makocha.

Kagere amefunga jumla ya mabao 19 msimu huu japo kwa sasa amekua hapati nafasi mbele ya nahodha John Boko.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited