Home Soka Mwakinyo Buree

Mwakinyo Buree

by Sports Leo
0 comments

Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza kutokua na kiingilio katika pambano lake la uzito wa juu dhidi ya bondia kutoka Ufilipino Arnel Tinampay litakalofanyika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam tarehe 29 mwezi huu.

Bondia huyo amesema hayo katika onyesho la wazi kwa ajili ya kutambulisha pambano ‘Face Off’ iliofanyika kwenye Viwanja wa Leaders jijini  Dar kuelekea kwenye pambano hilo la kibabe nchini.

“Kwanza nataka niwaambie Watanzania wote  kwamba tumeamua kufanya pambano hili bure baada ya kukubaliana na hili limefanyika kwa maslahi mapana  ya mchezo wenyewe, hivyo kikubwa tunawaomba wadau kujaza uwanja siku hiyo ili niweze kushinda kwa kuwa najua hatoweza kutoka,” alisema Mwakinyo.

banner

 

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited