Home Soka Simba sc,Yanga Zabadili Ratiba

Simba sc,Yanga Zabadili Ratiba

by Sports Leo
0 comments

Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imebadilisha ratiba ya mchezo namba 338 wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga uliokuwa ufanyika Alhamisi ya July 09 Katika dimba la Kaitaba Kagera Sugar na Sasa mchezo huo utafanyika Jumatano ya July 08 majira ya Saa 9:00 Alasiri.

Sababu kubwa ya kurudishwa nyuma mchezo huo ni Klabu ya Yanga kuomba mchezo huo kurudishwa nyuma ili kupata muda wa kuwahi mchezo wa nusu Fainali ya Kombe la shirikisho (ASFC) dhidi ya watani wao wa jadi Klabu ya Simba mchezo ambao utafanyika July 12 Majira ya Saa 11:00 jioni uwanja wa Tàifa Dar.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited