3864362 78520168 2560 1440

Diarra Aipa Alama 3 Mali

Kipa wa klabu ya Yanga sc Djigui Diarra amefanikiwa kuisaidia timu ya Taifa ya Mali kupata alama tatu katika mchezo wa kwanza wa michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) dhidi ya Afrika ya Kusini uliofanyika katika uwanja wa  Amadou Gon Coulibaly. Katika mchezo huo kipa huyo alianza katika kikosi cha kwanza ambapo alifanikiwa mara…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 419833521 910137894445418 8224745090284818046 n 1080 1

Ivory Coast Waanza Afcon na Ushindi

Wenyeji wa michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) timu ya Taifa ya Ivory Coast imeanza vyema michuano hiyo baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gambia katika mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo uliofanyika nchini humo na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki. Mabao ya Ivory Coast yalifungwa na Christian Kouamé (45′)…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks