Stars Yapigwa na Nigeria Afcon
Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kwenye michuano ya TotalEnergies Afcon Morocco 2025 imeanza kwa maumivu, baada ya kupoteza kwa bao 2–1 dhidi ya Nigeria katika mchezo uliochezwa Jumanne jioni, huku nyota Ademola Lookman akifunga bao la ushindi dakika chache tu baada ya Tanzania kusawazisha. Nigeria, maarufu kama Super Eagles, ilionekana kutawala…
