Snapinsta.app 375411225 273019795668467 3929728821247987652 n 1080

Staa Wa Ulaya Arejea Al Ahly

Klabu ya Al-Ahly imethibitisha kuwa Mlinzi wao wa kushoto mwenye magoli 50 katika klabu hiyo Ali Maaloul aliyeukosa mchezo dhidi ya Simbaa sc jijini Dar es salaam amerejea kwenye kikosi hicho Kuelekea mechi ya marudiano ya AFL dhidi ya Simba huko Misri, Pamoja na staa huyo pia klabu hiyo imethibitisha kuwa Emam Ashour nae atakuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks