ronaldo

Ronaldo Akumbwa na Virusi

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Al-nassr Fc Cristiano Ronaldo amepatikana na maambukizi ya Virusi ambavyo madaktari wa klabu ya Al-nassr FC hawakutaja ni virusi vya aina gani. Madaktari wa klabu wanasema wamesema kuwa staa huyo ana virusi mwilini hivyo hatoweza kucheza mchezo wowote klabuni hapo. “Cristiano Ronaldo ana virusi jambo ambalo limemsababisha…

Soma Zaidi
Ilikuwa ndoto kukutana nae na kupiga picha hatimae ndoto yangu imetimia Nina furaha sana kukutana nae ️

Luvanga Akutana na Ronaldo

Wachezaji wa Al Nassr ya Saudia,Mtanzania Clara Luvanga wa timu ya wanawake amekutana ana kwa ana na mshambuliaji wa klabu hiyo kwa upande wa wanaume Cristiano Ronaldo na kufanikiwa kupiga picha ya pamoja ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii hapa nchini. Clara mchezaji wa zamani wa Yanga Princess alijiunga na klabu hiyo msimu huu akitokea…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks