412149115 920110379474894 6212808527472201402 n 1

GSM Day Ni Free

Bosi wa klabu ya Yanga sc Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Medeama itakayopigwa Jumatano ijayo Uwanja wa Mkapa baada ya mechi ya awali kumalizika kwa sare ya bao 1-1 mjini Kumasi, Ghana. Hayo yamethibitishwa na msemaji wa klabu hiyo Ali Kamwe wakati akizungumza na Waandishi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks