aucho1

Aucho Arejea Yanga sc

Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho amerejea rasmi kikosini baada ya kukosekana katika michezo mitatu baada ya kufungiwa na bodi ya ligi kuu nchini kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union Ibrahim Ajibu mwaka jana Novemba 8 wakati wa mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo uliofanyika katika uwanja wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks