Screenshot 20250526 225136 Instagram

Azamtv Yaibuka Kidedea Kesi ya Vitasa

Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media Limited katika kesi ya madai ya haki miliki iliyofunguliwa na bondia Amos Mwamakula kutokana na kampuni hiyo kutumia wazo la mashindano ya ngumi maarufu kama “Vitasa”. Awali, Mahakama ya Kinondoni iliiamuru Azam Media Limited kumlipa bondia huyo kiasi cha shilingi milioni 250, baada ya kudai kuwa kampuni…

Soma Zaidi
IMG 20240918 WA0096

Azamtv Wakutana na Kisanga Kizito

Bondia Mtanzania Amosi Mwamakula ametakiwa kulipwa Fedha za Kitanzania Tsh. Milioni 250 na Kampuni ya Azam Media Limited baada ya kushinda Kesi katika Mahakama ya Kinondoni Jijini Dar es salam. Kesi hiyo ya Madai iliamuliwa 22 Agosti, 2024 na Hakimu William Kaaya kwa Kosa la Kampuni hiyo kufanya Uvunjifu wa Haki Miliki ambapo Bondia huyo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks