Screenshot 20250525 124549 Instagram

Yanga Sc Yamuaga Rasmi Azizi Ki

Ni rasmi sasa klabu ya Yanga sc imemuuza kiungo mshambuliaji wake Stephan Aziz Ki kwenda katika klabu ya Wydad Athletic ya nchini Morocco kwa dau linalokadiriwa zaidi ya shilingi bilioni 2 za kitanzania. Baada ya tetesi na taarifa za awali kuhusu uwepo wa dili hilo sasa rasmi klabu hiyo imethibitisha kupitia mitandao yake ya kijamii…

Soma Zaidi
Aziz kama Aziz

Aziz Ki Kusalia Yanga Sc

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kusalia klabuni hapo baada ya kufikia makubaliano na mabosi wa klabu hiyo wiki iliyopita. Azizi Ki anamaliza mkataba wake wa hivi sasa mwishoni mwa mwezi huu ambao ameutumikia kwa miaka miwili tangu asajiliwe msimu wa 2022 akitokea Asec…

Soma Zaidi
FB IMG 17138960906117915

Aziz Ki,Yanga Sc Kujadili Mkataba Mpya

Wakala wa nyota wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki aitwaye Zambro Traore yupo nchini kujadiliana na Yanga SC juu ya mteja wake kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga ndani kikosi cha Yanga SC. Mkataba wa sasa wa nyota huyo unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu ambapo baadhi ya klabu kama Al Ahly, Pyramid, Orlando Pirates na…

Soma Zaidi
Aziz kama Aziz

Aziz Ki Bora Machi 2024

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki ameibuka  kuwa mchezaji bora mwezi Machi msimu wa ligi kuu kwa msimu wa baada ya kutangazwa na bodi inayosimamia ligi kuu nchini kupitia kamati yake maalumu ya Tathmini ya viwango vya wachezaji 2023/2024. Aziz KI amechukua tuzo hiyo mbele ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks