Mikeka Yaipa Mabilioni Serikali
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na dhana nzima ya kucheza kwa kiasi (responsible…
