Cameroon Fecafoot has made a decision for Etoo

Etoo Kujiuzuru Urais Cameroon

Rais wa Shirikisho la soka nchini Cameroon (Fecafoot) Samuel Etoo ameandika barua ya kujiuzuru nafasi yake hiyo kutokana na timu ya Taifa ya nchini kufanya vibaya katika michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon 2023) yanayoendelea nchini Ivory Coast. Cameroon ilitolewa katika michuano hiyo katika hatua ya 16 bora baada ya kufungwa mabao 2-0 na Nigeria katika…

Soma Zaidi
Cameroon coach Rigobert Song during the Qatar 2022 FIFA World Cup qualifier scaled

Song Akalia Kuti Kavu Cameroon

Baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Nigeria katika michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) katika hatua ya 16 bora kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song amekalia kuti kavu kuendelea kuifundisha timu hiyo. Mashabiki wengi nchini humo wameonyesha kutoridhishwa na kiwango cha timu hiyo na hivyo kusababisha kulalamika wakimlaumu…

Soma Zaidi
GettyImages 1927822503 scaled

Senegal Yafuzu 16 Bora Afcon 2024

Bingwa mtetezi wa Fainali ya Mataifa Afrika (Afcon) Timu ya Taifa ya  Senegal imetinga hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Cameroon mabao 3-1 leo katika Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro mchezo wa kundi C ya michuano hiyo. Senegal imefuzu hatua hiyo ikiwa na pointi sita huku ikiwa imebakiza mechi moja tu dhidi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks