Lebo: clement mzize
Kutoka Msoto Hadi Kuwa Star Clement Mzize 21
Kutoka Msoto Hadi Kuwa Star Clement Mzize Shujaa wa Taifa Usiku wa kihistoria katika uwanja wa Benjamin Mkapa, ambao ulifurika mashabiki, ulikuwa ni usiku wa mabadiliko makubwa. Jina la Clement Francis Mzize, staa kinda wa soka la Tanzania, liliingia katika vitabu vya historia ya soka la Afrika. Katika pambano la kundi A la mashindano ya…
Tanzania Yaanza kwa Kishindo CHAN 2024
Tanzania Yaanza kwa Kishindo CHAN 2024: Usiku wa Historia Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Siku ya kihistoria katika soka la Tanzania imewekwa wazi! Tanzania yaanza kwa kishindo CHAN 2024, ikionesha ubora na utawala wake dhidi ya Burkina Faso katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) PAMOJA 2024. Katika Uwanja…
