Kocha Juma Mwambusi ana kazi ya kufanya baada ya kuishuhudia klabu yake ya Coastal Union ikikubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Fountain Gate Fc katika mchezo wa ligi kuu …
coastal union
-
-
Baada ya kuachana na Kipa wake Raia wa Congo Dr Ley Matampi sasa klabu hiyo imetangaza kuachana na beki wake Hernest Malonga pamoja na Deus Lucas baada ya kuvunja mkataba …
-
Kocha wa zamani wa timu za Mbeya City Fc na Yanga sc Juma Mwambusi amefikia makubaliano ya kuionoa klabu ya Coastal Union Fc ya jijini Tanga ambayo inashiriki ligi kuu …
-
Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinadai kuwa staa wa klabu ya Coastal Union Lameck Lawi yuko mbioni kurejea nchini baada ya kufeli majaribio katika klabu ya K.A.A Gent inayoshiriki ligi kuu …
-
Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la ngao ya jamii uliofanyika katika uwanja wa …
-
Klabu ya Simba sc imetambulisha beki Lameck Lawi kama usajili wake wa kwanza msimu huu kutoka Coastal Union ya jijini Tanga baada ya kutoa taarifa za kuachana na wachezaji watano …
-
Golikipa wa klabu ya Coastal Union Ley Matampi amempiku golikipa wa klabu ya Yanga Djigui Diarra na kuwa kipa mwenye clean sheets nyingi baada ya kufikisha 15 huku Diarra ambaye …
-
Taarifa kutoka ndani ya Klabu hiyo ni kwamba tayari uongozi wa Simba Sc umemalizana na Beki ya kati kutoka Coastal Union Lameck Lawi baada ya kupeleka kitita cha milioni 205 …
-
Beki wa klabu ya Coastal Union Lameck Lawi amefutiwa kadi nyekundu aliyopewa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya klabu ya Yanga sc baada ya kumvuta jezi kiungo mshambuliaji wa …
-
Uimara wa Kipa Loy Matampi umeifanya Yanga sc kuibuka na ushindi kiduchu wa 1-0 dhidi ya Coastal Union kutoka jijini Tanga katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc …