445203959 18434788636052678 1233376870917972056 n

Azam Fc Yashusha Straika Mashine

Klabu ya Azam Fc imemsajili mshambuliaji Jhonier Blanco kutoka klabu ya Fortaleza CEIF inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Colombia kwa mkataba wa miaka minne akichukua nafasi ya Prince Dube ambaye ameonyesha nia ya kuvunja mkataba na klabu hiyo. Mshambuliaji huyo amewahi kuwa mshambuliaji bora katika ligi hiyo ya daraja la kwanza nchini Colombia maarufu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks