Lebo: Ivory Coast
Apr Yaingia Anga Za Wanakariakoo
Klabu ya APR FC kutoka Rwanda imeingia katika kinyang’anyiro cha kumuwania mshambuliaji kutoka Asec Mimosa Ecua Acua Celestine ambaye amefunga jumla ya magoli 15 ndani ya msimu huu akiwa na klabu hiyo ya Asec mimosas ya nchini Ivory coast. Vilabu vya Simba pamoja na Yanga sc za nchini ni miongoni mwa vilabu vilivyoonyesha nia ya…
Aucho,Kibwana Kuwawahi Mamelod
Baadhi ya mastaa wa klabu ya Yanga sc waliokua majeruhi wamerejea klabuni hapo kutoka katika majeraha huku tayari baadhi yao wakiwa wameungana na kikosi hicho katika mazoezi kujiandaa na mchezo huo ambao utafanyika siku ya Jumamosi machi 30 saa tatu usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Wachezaji hao ambao walikua majeruhi…
Ivory Coast Mabingwa Afcon 2023
Timu ya Taifa ya Ivory Coast wameibuka mabingwa wa kombe la mataifa ya Afrika baada ya kuifunga Nigeria kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali ambapo takribani nchi zote za Afrika zilikua zinashuhudia michuano hiyo kupitia vyanzo mbalimbali vya habari. Haikutabiriwa na wengi kuwa wenyeji wataibuka mabingwa kutokana na kuanza kwa kusuasua katika hatua ya…
Ivory Coast hao Fainali
Licha ya kuanza kwa kusuasua kamamwenyeji katika michuano ya mataifa ya Afrika timu ya Ivory Coast imefanikiwa kufuzu hatua ya Fainali ya michuano hiyo baada ya kuifunga DR Congo kwa bao 1-0 katika mchezo mkali wa nusu fainali. Licha kupiga mashuti 14 langoni mwa Congo DR ni mashuti mawili tu yalilenga lango na moja kuwa…
