Juma Mgunda Guardiola wa Bongo: Mbinu Zake za Kipekee Zinamfanya Kuwa Gumzo Tanzania
Juma Mgunda Guardiola wa Bongo: Mbinu Zake za Kipekee Zinamfanya Kuwa Gumzo Tanzania Licha ya kutokuwa na muda mrefu wa miaka mingi kwenye kazi ya ukocha, jina la Juma Mgunda limekuwa gumzo kubwa nchini Tanzania kutokana na mafanikio makubwa aliyonayo kwenye taaluma hiyo. Mafanikio haya yanamsukuma kupewa sifa na jina la utani ambalo limenasa hisia…
