Yanga sc Yakomaa na Kagoma
Klabu ya Yanga sc imeendelea kukomaa na usajili wa mchezaji Yusuph Kagoma ambaye amejiunga na Simba sc msimu huu ikisisitiza kuwa ni mchezaji wa klabu hiyo baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu klabuni hapo. Kagoma aliyeuzwa na Fountain Gate Fc kwa Simba sc awali alifanya mazungumzo na Yanga sc na kusaini mkataba huo wa…
