Singida FG Yahamia Karatu
Klabu ya Singida Fountain Gate itautumia uwanja wa Black Rhino Academy uliopo karate,Arusha kwa ajili ya michezo yake ya nyumbani baada ya kufungiwa kwa uwanja wake wa nyumbani wa Liti ulioko mkoani Singida. Uwanja huo ni miongoni mwa viwanja vyenye nyasi asilia ambavyo ni bora hapa nchini huku eneo lake la kuchezea likiwa na ubora…
