Maximo: Sijutii Kuondoka KMC, Bado nina Mapenzi na Tanzania
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC, Mbrazil Marcio Maximo amesema hajutii uamuzi wa uongozi wa klabu hiyo wa kusitisha mkataba wake, kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu katika mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu, akisisitiza amepokea maamuzi hayo kwa heshima na weledi mkubwa. Maximo, ambaye alidumu ndani ya KMC kwa siku 131 pekee, alisimamia jumla ya…
