Mahrez Aipa Algeria Tiketi 16 Bora
Nahodha Riyad Mahrez ameibuka shujaa kwa Algeria baada ya kufunga bao pekee la penalti lililoihakikishia timu hiyo ushindi wa thamani wa mabao 1-0 dhidi ya Burkina Faso, matokeo yaliyothibitisha kufuzu kwa Les Fennecs kwenda hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 linaloendelea nchini Morocco. Kwa ushindi huo, Algeria imejiimarisha kileleni…
