20230115 161704 edit 33905050895347

Dodoma Jiji Yamgeukia Makambo

Klabu ya Dodoma Jiji Fc sasa imeingilia dili la mshambuliaji wa zamani Yanga, Heritier Makambo kutoka Al Murooj SC ya Libya ambaye alikua katika mchakato wa kurejea nchini kujiunga na klabu ya Tabora United inayoshiriki ligi kuu ya Nbc msimu ujao. Awali Mkongomani huyo aliyewahi kuzichezea DC Motema Pembe, FC Lupopo zote za DR Congo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks