Kiptoo Ashinda Athens Marathon
Mwanariadha kutoka nchini Kenya Edwin Kiptoo ameshinda tuzo katika mbio za 40 za has won Athens Marathon kwa kuvunja rekodi akikimbia kwa kutimua masaa mawili na dakika kumi na sekunde thelasini na nne pekee. Mwanariadha huyo mwenye miaka 30 aliwashangaza wengi baada ya kukimbia kilomita kumi pekee katika sehemu ya pili ya mbio hizo maarufu…
