Gamondi Aandaa Mitego ya Derby
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya kuwepo kwa mapumziko ya wiki mbili kupisha michezo ya timu za Taifa kambini kwake hakuna mapumziko bali anatumia muda huo kutengeneza mitego kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Simba utakaofanyika nchini Oktoba 19 2024. Gamondi amesema hayo leo katika kambi ya timu hiyo iliyopo…
