Mlandege Yatinga Fainali Mapinduzi Cup
Mlandege FC imefuzu hatua ya fainali Mapinduzi Cup 2024 baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa penalti 4-2 kwenye mechi ya nusu fainali iliyoisha dakika 90 bila kufungana (0-0) na wenyeji kufanikiwa kushinda kwa penati. Kipa wa Mlandege Fc Othmani Hassan aliibuka shujaa kwa klabu yake baada ya kufanikiwa kudaka michomo miwili ya penati ikiwemo…
