Mzamiru Atemwa Simba Sc
Kiungo wa klabu ya Simba Sc Mzamiru Yassin hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha Simba Sc kuelekea msimu ujao wa ligi kuu ya Nbc baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa mwezi juni 2025. Mkataba wake na waajiri wake hao umekwisha na hakuna mazungumzo mapya kuhusu kuongeza mkataba mpya ndani ya mitaa ya msimbazi. Kiungo…
