Anthony Joshua Apata Ajali Nigeria
Bondia maarufu wa uzito wa juu kutoka Uingereza, Anthony Joshua, amejeruhiwa katika ajali mbaya ya gari iliyotokea nchini Nigeria, ajali iliyosababisha vifo vya watu wawili waliokuwa sehemu ya timu yake ya karibu. Tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Jimbo la Ogun, karibu na jiji la Lagos, na limeutikisa ulimwengu wa ndondi pamoja na mashabiki wa…
