Kaseke Atua Pamba Jiji

Winga wa zamani wa klabu ya Yanga sc na Singida Big Stars Deus Kaseke amejiunga na klabu ya Pamba Jiji Fc kwa mkataba wa miezi sita akiwa kama mchezaji huru. Kaseke ambaye alikua hana timu tangu aachane na waajiri wake wa zamani ilikua ajiunge na Kengold Fc lakini dili hilo halikukamilika na sasa rasmi amejiunga…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks