Klabu ya Simba SC hatimaye imevunja ukimya na kumtangaza rasmi kocha wa zamani wa Gaborone United ya Botswana, Dimitri Pandev, kuwa meneja mkuu mpya wa kikosi hicho baada ya kuondoka kwa kocha Fadlu Davis aliyejiunga na Raja Athletic Club ya Morocco. Ujio wa Pandev unakuja katika wakati ambapo Simba SC inajiandaa na changamoto kubwa za…
