Lebo: Roman Folz
Yanga Sc Yatambulisha Benchi Jipya la Ufundi
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha benchi jipya la ufundi litakalokuwa chini ya kocha Roman Folz baada ya kocha huyo kuamua kuja na wasaidizi wake na kuwaondoa wale waliokua wamejiariwa katika nafasi hizo tangu mwanzo. Kocha huyo mwenye miaka 35 ameamua kuja na Mkurugenzi wake wa Ufundi ambaye ndiye atakua anasimamia Dira ya kiufundi ya klabu…
