Singida FG Waanza Usajili
Klabu ya Singida Fountain Gates imekamikisha Usajili wa Mlinzi wa kushoto raia wa Botswana Benson Kitso Mangolo kuja kuongeza nguvu katika eneo hilo ambalo mpaka sasa anacheza Gadiel Michael na Yahaya Mbegu kikosini humo. Benson ambaye amewahi kuwa mchezaji bora wa mwaka nchini Botswana, kabla ya kukamisha usajili wake na matajiri wa Alizeti wenye makazi…
