Ihefu Fc Yabadili Jina
Uongozi wa klabu ya Ihefu FC ambao siku za karibuni umeyahamisha makazi ya klabu hiyo kutoka Mbarali Mbeya na kwenda mkoani Singida, na hivyo kufanya mabadiliko ya jina la timu na sasa kutambulika kama Singida Black Stars Sports Club. Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo kwenda kwa umma imesema kwamba lengo la kubadilisha jina la…
