Kagoma Azigonganisha Simba sc na Yanga sc
Kiungo wa ulinzi wa klabu ya Singida Fountain Gate Yussuph Kagoma amezigonganisha klabu za Simba sc na Yanga sc kutokana na klabu zote mbili kudaiwa kumalizana mchezaji huyo kwa kumsainisha mikataba ya miaka miwili kila mmoja. Yanga sc walikua wa kwanza kumalizana na Kagoma ambapo walinunua mkataba wake wa mwaka mmoja aliokua nao katika klabu…
