Hapatoshi Namungo Ikiwasili Kagera
Klabu ya Namungo Fc maarufu kama Wauaji wa Kusini tayari wamewasili mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera sugar utakaopigwa uwanja wa kaitaba siku ya Jumatano Oktoba 4,2023. Namungo wamewasili mkoani humo kwa ndege wakiwa na mastaa wote hasa wale waliocheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc walipofungwa 1-0 licha ya…
