Sure Boy Ajifunga Miwili Yanga sc
Klabu ya soka ya Yanga sc imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake Salum Abubakar “Sure Boy” kuendelea kukipiga kunako klabu hiyo baada ya ule wa awali kufika tamati katika usajili wa dirisha dogo. Kiungo huyo alijiunga na Yanga sc iliyokua chini ya kocha Nasredine Nabi mnamo dirisha la januari msimu wa 2021/2024 ambapo baada…
