b60d022c4f4c8de201890d784fd02c4b

Fainali Crdb Cup Matatani Manyara

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) lipo mbioni kubadili uwanja utakaofanyika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho la Crdb ambao umepangwa kufanyika mkoani Manyara katika uwanja wa Tanzanite siku ya June 2 mwaka huu. TFF inafikiria kubadili uwanja kutokana na sababu kubwa tatu ambazo ni uwanja kuwa na uwezo mdogo wa kuingiza mashabiki huku…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks