Fomu Kumrithi Karia Laki 5
Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) inatangaza tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga. Kamati hiyo imetangaza kuwa nafasi zinazogombewa ni nafasi ya Rais wa shirikisho hilo (Nafasi 1) na nafasi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji (Nafasi 6) ambao ndio wanatimiza safu…
