Screenshot 20250526 225136 Instagram

Azamtv Yaibuka Kidedea Kesi ya Vitasa

Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media Limited katika kesi ya madai ya haki miliki iliyofunguliwa na bondia Amos Mwamakula kutokana na kampuni hiyo kutumia wazo la mashindano ya ngumi maarufu kama “Vitasa”. Awali, Mahakama ya Kinondoni iliiamuru Azam Media Limited kumlipa bondia huyo kiasi cha shilingi milioni 250, baada ya kudai kuwa kampuni…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks