IMG 20250623 WA0041

Kinda Aizamisha Wydad Ac World Cup

Kinda wa kituruki Kenan Yildiz alifunga mabao mawili ambapo akiongoza Juventus ikipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika Kombe la Dunia la Klabu (Club World Cup) Jumapili hii  kuifanya klabu hiyo kukaribia kufuzu kwenye raundi ya 16. Timu hiyo ya Italia iko kwenye nafasi ya kwanza ya Kundi G kwa alama…

Soma Zaidi
Screenshot 20250525 124549 Instagram

Yanga Sc Yamuaga Rasmi Azizi Ki

Ni rasmi sasa klabu ya Yanga sc imemuuza kiungo mshambuliaji wake Stephan Aziz Ki kwenda katika klabu ya Wydad Athletic ya nchini Morocco kwa dau linalokadiriwa zaidi ya shilingi bilioni 2 za kitanzania. Baada ya tetesi na taarifa za awali kuhusu uwepo wa dili hilo sasa rasmi klabu hiyo imethibitisha kupitia mitandao yake ya kijamii…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks