Alonso Ampisha Álvaro Arbeloa Madrid
Klabu ya Real Madrid imemtangaza rasmi Álvaro Arbeloa (42) kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi cha kwanza, kufuatia kuachana na Xabi Alonso baada ya kipigo cha mabao 3-2 dhidi ya Barcelona kwenye fainali ya Supercopa de España. Uamuzi huo umefikiwa katika mazingira ya presha kubwa, huku uongozi wa klabu ukiongozwa na Rais Florentino Pérez ukisisitiza…
