FB IMG 1722866454781

Dk.Mpango Aipamba Siku ya Wananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk.Phillipo Mpango amehudhuria tamasha la siku ya mwananchi linalofanywa na klabu ya Yanga sc kwa ajili ya kutambulisha mastaa wapya kwa ajili ya msimu ujao. Tamasha hilo limefanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mara ya sita kufanyika nchini na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks