Home Soka Chama,Kahata Kutua Wiki Ijayo

Chama,Kahata Kutua Wiki Ijayo

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa timu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema anatarajia viungo Clatous Chama na Francis Kahata watatua nchini wiki ijayo tayari kujiunga na wenzao katika kujiandaa na ligi itakayo rejea Juni 13.

Sven ambaye ni raia wa ubeligiji amesema kiungo Sharaaf Shiboub atachelewa kidogo kurejea kwakua nchi yake ya Sudan bado haijapunguza vikwazo vya kufungua mipaka kutokana na janga la Corona.

Hata hivyo tayari mastaa wengi wa kimataifa wamejiunga na kambi ya mazoezi ya klabu hiyo kwa kuwa walikua wapo nchini huku wachache waliokua nje ya nchi kama Meddie Kagere tayari ameshawasili.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited