Boulbina Aipeleka Algeria Robo Fainali Afcon 2025
Mshambuliaji wa akiba, Adil Boulbina, aliibuka shujaa wa Algeria baada ya kufunga bao la ushindi katika dakika za lala salama za muda wa nyongeza, na kuiongoza timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Morocco 2025, kufuatia ushindi mgumu wa bao 1-0 dhidi ya DR Congo. Katika mchezo uliokuwa…
