Untitled design 14

Siku Ya Historia Afcon 2025: Mabingwa wa Afrika Wakutana,Urithi wa Soka la Bara la Afrika Ukiandikwa Upya.

Leo ni siku adimu na ya kihistoria kwa soka la Afrika. Siku ambayo kalenda ya AFCON 2025 imeandika mstari mzito: wachezaji wote watano waliowahi kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika tangu 2017 wanakutana uwanjani katika mechi mbili za nusu fainali zitakazotikisa bara zima. Ni mkutano wa vipaji, uzoefu, ushindani na hadhi siku ambayo Afrika…

Soma Zaidi
www.sportsleo.co.tz

Pambano la Joshua na Fury Lipo Mashakani Baada ya Ajali ya Gari Nigeria

Pambano kubwa la ndondi duniani kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury, lililokuwa likitarajiwa kufanyika mwakani, huenda likafutwa au kuahirishwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyomhusisha bondia Anthony Joshua nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea jana Jumatatu, Desemba 29, kwenye barabara kuu ya Lagos–Ibadan, na kusababisha vifo vya watu wawili waliokuwa wakisafiri naye. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi
b25lwnr2301

Stars Yapigwa na Nigeria Afcon

Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kwenye michuano ya TotalEnergies Afcon Morocco 2025 imeanza kwa maumivu, baada ya kupoteza kwa bao 2–1 dhidi ya Nigeria katika mchezo uliochezwa Jumanne jioni, huku nyota Ademola Lookman akifunga bao la ushindi dakika chache tu baada ya Tanzania kusawazisha. Nigeria, maarufu kama Super Eagles, ilionekana kutawala…

Soma Zaidi
1996269328 scaled

Ivory Coast Mabingwa Afcon 2023

Timu ya Taifa ya Ivory Coast wameibuka mabingwa wa kombe la mataifa ya Afrika baada ya kuifunga Nigeria kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali ambapo takribani nchi zote za Afrika zilikua zinashuhudia michuano hiyo kupitia vyanzo mbalimbali vya habari. Haikutabiriwa na wengi kuwa wenyeji wataibuka mabingwa kutokana na kuanza kwa kusuasua katika hatua ya…

Soma Zaidi
icon 75270105

Nigeria Yatinga Fainali Afcon 2023

Timu ya Taifa ya Nigeria imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kuibuka na ushindi wa 4-2 kwa penati baada ya sare ya 1-1 katika dakika 120 za kawaida. Nigeria licha ya kumiliki mchezo huo iliwalazimu kusubiri mpaka dakika ya 67 ya mchezo kupata bao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks